Quantcast
Channel: JF Chit-Chat
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12068

PM za wadada wengi wa MMU zimejaa meseji za mitongozo

$
0
0
Wanajamvi mambo zenu.

Nimegundua jukwaa hili limejaa wanaume wasio na mtazamo wowote zaidi ya ngono.

wanaume wapo kwaajili ya kuvia mademu

Ukifuatilia PM za wadada wanachangia humu utaona jinsi zinavyofurika meseji za mitongozo.

najiuliza kwanini ukimbilie huku? Huko mtaani hamuwaoni?

Mpaka Leo bado kuna wanaume madomo zenge?

Emu nisaidieni shida yenu nini hasa? Au niwafundishe namna ya kutongo.za?

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12068

Trending Articles