Quantcast
Channel: JF Chit-Chat
Browsing all 12068 articles
Browse latest View live

Jamani eeh, ninaombeni msaada wa haraka

Nina mpenzi wangu ambaye nimedumu naye muda mrefu sana na nilikuwa na malengo ya kumuoa kati ya mwakani au mwaka unaofwata ila kuna tatizo limenitokea muda huu hapa na hilo tatizo ndo limenifanya...

View Article


Kila Siku Namuomba Mungu Nikija Kufa! Nife Kweli.

Sabakher Wadau; Kuna Kitu Ambacho Nakifikiria Daily! Yaan Namuomba Sana Mungu Nikija Kufa Nisije Kuzinduka Mochwari Usiku! Kwa Sababu Najua Nitachanganyikiwa Sana!! NAOMBA NIKIFA NIFE KWEL.

View Article


Crazy Things You Did In Sec School

~ Got chased by the headteacher and deputy head, a whole crowd of us in school uniform where in one area our school had been forbidden to enter by the school otherwise could result in expulsion, only 2...

View Article

Hivi usiku huwa mnajishughulisha na nini? Napata Likes na comments nyingi...

Wadau wa JF, Mchana wengi wenu mnakuwaga very active online ila usiku mnakuwa doro. Ni kwamba ikifika usiku mnakosa access ya internet au mnakuwa bize na shughuli zingine za kjamii? Kama mnajifanya mko...

View Article

Siku ya Kwanza Kuongea Kiingereza mbele ya Kadamnasi kidogo nizimie

Wandugu kama mjuavyo wengi wetu tumesoma shule za st. Kayumba kwa hiyo Ngeli ni ishu kwetu. Basi kwa kuunga unga hivyo hivyo nikachaguliwa Chuo (UDSM) sasa kufika huko si ndo mambo ya Seminar za DS 101...

View Article


Tuliozaliwa leo tuungane humu kujipongeza

Tarehe kama ya leo wazazi wangu View attachment 339021 walinileta kuanza safari ya ulimwenguni Hadi hapa nilipofikia nina kila sababu ya kumshukuru muumba kwa kusema asante kwa yote aliyonitendea........

View Article

Ukweli mtupu

3 Fs that every man should bear commitment to his love....should **** her,FEED her,and FINANCE her....out of that,cheating is a must

View Article

Sina Imani tena, nimezongwa na hili hadi nauona moto mbele yangu.

Naisikia sauti ninayoamini ni ya mungu muumba. Najua ameamua kunikomoa. Ananifanya nisikike nikiwaza mambo yangu kimoyo moyo. Nashukuru mungu sana kwani sasa natambua siwezi lolote duniani zaidi ya...

View Article


Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Inakuwaje wanaume wa Dar tunatembe kimdebwedo kiasi hichi? Biblia yangu inasema tumeumbwa kwa mfano wa Mungu, siamini hata kidogo Mungu anatembea kivivu namna hii (walking aimlessly) wengine hujui kama...

View Article


Lengo lake huyu dada ni nini?

WASH'KAJI EEEEEEEH! TUSIKILIZANE KIDOGO. KUTOKANA NA PILIKA ZA MAISHA HAPA MJINI, NIMELAZIMIKA KUHAMIA HUKU PANDE ZA GOBA_JUU, HAPA KWENYE MABANDA YA MKAA, KARIBU NA MNARA WA AIRTEL, UKIINGILIA NJIA YA...

View Article

Yamenikuta

Wasee niaje? Ni juzi tu, nlipata wrong Mpesa cash kitu kama ngiri sabini (Kshs 70,000/=) nilitia mbidii nikawithdraw. By the after kitu kama two hours napata nangos mpya kwa tenje, huyo msee alinishoo...

View Article

Sijui tatizo ni shule za siku hizi au somo la jiografia ndio limebadilika

Sijui tatizo Ni shule za siku hizi au somo la jiografia ndio limebadilika!

View Article

Hatimae utabaka umeingia JF

Habari za Jumamosi wanaukumbi... Ile kauli ya matabaka hayaepukiki katika jamii imejidhihirisha ndani ya JF baada ya kuibuka kwa members wanaojiita " Makapuku " ambao wengi wao ni members wapya...

View Article


Team single tunateseka

Jamani hii hali ya hewa mvua na kibaridi team single tunateseka sana. Wale wenye wake zao ndo wakati wa kututambia huu utasikia kwanini hauoi? Akyanani baridi linalonipiga nimeamua kutafuta mke.

View Article

Kusuka kwa Wamasai Basi ....

Habari Wana Chit-Chat, Naomba kuuliza Wanawake wenzangu, Nilimuona Shogangu kasuka zile nywele za kimasai nikazipenda sanaa sasa nikasema niende na kwakweli sijasuka nna miaka kama 10 sababu mr Hataki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wajue Great Sinkers wa JF !!

Kama kawa kama dawa week end kamata mkwanja ruka kijanja hadi kiwanja!!! Enewea wanachitchat week end ishaanza ni mwendo wa kula gambe.... Leo nakuja na akina Great Sinkers wa JF huwa wananifurahisha...

View Article

Underground vs Wakongwe wa JF

Mambo vipi wanangu? Sio siri hapa JF kuna battle ya chini kwa chini kati ya wakongwe(member wa muda mrefu) dhidi ya Underground(member wasio na muda mrefu mfano hawana hata 1 yr hapa jukwaani),Wakongwe...

View Article


Breaking news=Lowasa atoa tamko kali..........

habari zenu wana chit chat wooooote. MUNGU AWE NANYI. hizi ni salamu kwa kichwa cha kisiasa.

View Article

Kwaito Songs za Kwenye Maharusi

Wajameni naombeni mnisaidie kwa kunitajia majina ya zile nyimbo maarufu za Kwaito zinazopendwa sana kwenye harusi nyingi za kibongo, nataka kuzitafuta nizi-download......

View Article

Aiseee! Nimeamini wanawake wanapenda pesa. Cheki hii kitu kuthibitisha ...

Nimeamini hawa viumbe wanapenda pesa. Kuna mwanamke mmoja anafanya kazi benki hapa dar es salaam kama teller tunatoka mtaa mmoja, ni mzuri sana. Ana mkia na kiuno cha nyigu, sio bonge na mfupi kama 5'2...

View Article
Browsing all 12068 articles
Browse latest View live