Je, Ni ushamba maringo au dharau?
Hivi mfano mtu anakupa namba yake ya simu lakini ukimtumia meseji ajibu wala simu ukimpigia apokei, acheni basi tabia hizo mnauzi sana,pia haihusu mapenzi au mahusiano wala sio ya kutongozana na...
View ArticleJe, mauno kitandani ni 'genetic' au 'something learned'?
Mauno kitandani ni genetic ama something learned..... haya.............
View ArticleUko wapi Janny? Nakutafuta
Tukikuwa wote Bukoba mjini miaka ya 90 Mwaka 2000 tulikutana tena jiji Mwanza tukaendeleza mahusiano ... Nilisafiri nje ya nchi na sasa nimerudi - nikaenda mtaani kwako ulikokuwa ukiishi nimeambiwa...
View ArticleJe, Huyu msichana wa benki ananipenda?
Jamani nawasalimu, Majuzi kati nilielekea bank fulani kwa ajili yakuhakikisha kuwa akaunti yangu iko sawa kwa ajili yakuweka vidola kidogo kwa ajili ya kujikimu maisha kwa kujiwekea akiba ya badae....
View ArticleKesho naenda Somalia kwa pikipiki
Wakuu kesho nasafiri kwenda somalia kwa pikipiki boxer, wakuu naombeni baraka zenu na maombi
View ArticleMtanzania yeyote aliyepo Bern Switzerland naomba anicheki PM. Nimefika hapa leo
Habari wakuu, Naomba aliyepo anicheki angalau nipate mtanzania wa kuongea naye. Asanteni.
View ArticleNi kwanini walevi humnunulia mtu pombe na sio chakula?
Mara nyingi mtu akiwa ameishiwa pesa hata ya kununulia chakula na inapotokea akaomba msaada kwa rafiki zake au ndugu huambulia kununulia pombe za hela nyingi lakini kumpa hela kidogo ya kununulia...
View ArticleMuda wa kubebika,deka nikudekeze
.Kama ilivyo eleweka kuwa ni muda wa kubebika,lakini mm bado tangazo lao nashindwa kulielewa hasa pale wanapopigiana simu kat ya mkewe na yeye Joti. Mwnye kujua atujuze
View Article20 most Influential JF members 2016
20 Most influential Jf members Wakuu leo nimeona nitoe list ya watu wenye ushawishi , kuna muda unaweza ukawa huna cha kuandika au kukoment humu ila unaweza kupitia habari mbalimbali ambazo nyingi...
View ArticleNamtafuta amu popote alipo
Jamani mimi ni binadamu na nimeumbwa na moyo wa nyama. Napenda kuomba msaada kwa yeyote mwenye uwezo. Namtafuta amu popote alipo. Najua ni mke wa mtu kwa sasa kwa mujibu wa maelezo yake lakini, amu...
View ArticleHappy Birthday Joe Nyandigira
Mwangaruka Ni wakati mwingine wa kukumbuka siku muhimu hii kwa mpendwa wetu Joe Nyandigira ambaye leo anatimiza malongo kadhaa, ni wakati wa kufurahi pamoja nae na kumtakia kheri ana fanaka na maisha...
View ArticleMalaria Sugu yuko verrrrrrrrrrrrrry special.
Anadeka sana, na kwa kuwa hapa jamvini hamna wa kumdekeza basi anajihisi anaonewa. Mara leo lnvisible kamuonea, mara kesho Rev. Masa kamuonea, mara Buji manyotanyota naye kamuonea. Jamani MS,...
View ArticleMarais wapungua mtaani
Hali ya kuwa na marais wa mitaa mara sjui rais wa kijiji gan mara wa kona street now days wamepngua kama sio kuisha kabisa tangu mh Magu aingie madaraka. Shkamoo mjomba magu.
View ArticleIf she listens.
Kuna mresh ako na ID name reads "RUBY" if hiyo avatar ni yeye pls I have my words for her! Sometimes I feel to ask her but I go cold!! Anyway if she reads along this thread, pls tujuane one Time. Yo...
View ArticleMchumba atemwa baada ya kuto omba hela ya matumizi kwa miezi 2
Mwanaume alisikika akilalama "haiwezekani akae kimya kwa miezi 2, anatumia nn? Au kuna mtu mwingine ana mhudumia? Siku za nyuma ilikuwa haiishi wiki". Haya yameibuka huku kwetu uswazi. Jamani...
View ArticleHappy Birthday Jimena !
Hello everyone ! Leo April 08 ni siku muhimu kwa rafiki yangu kipenzi hapa Jf aitwaye Jimena , Naomba tujumuike pamoja kumtakia heri ya kuzaliwa dada yetu huyu...... Napendelea sana ule msemo wake wa...
View ArticleHivi ni kwanini siku hizi watu hawapigani mitaani kama miaka ya 1980s?
Nakumbuka miaka ya 80-90 ilikuwa jambo la kawaida kukuta jamaa wanapigana mitaani halafu watu wanashangilia sana. Yaani ukiwa mtemi au gangwe basi unaonekana wa maana sana. Hata baadhi ya disco ilikuwa...
View ArticleMpenzi wangu kanitumbua
Wakuu kwema? Jana mpenzi wangu alikuja gheto nikamuomba anisaidie kufanya usafi wa nyumba akakataa,nikamchapa kofi moja. Leo kanitumia text eti mie na yeye ndio basi na wakati mimi nilikuwa namdispline...
View Article