Vipi makamanda laifu linasonga wanangu ? Last week nilipita uzunguni pande za Masaki na Oysterbay kupiga mishemishe kule...Basi nikanusanusa na kugundua vijimambo vyao ambavyo pia vipi sehemu za wenye vijisenti km kule Mikocheni n.k....
1/Vitoto vibwegebwege
Watoto wengi wa ushuani vimezidiwa maarifa na hata nguvu na watoto wa Uswaz...kwenye mihezo wanajua kucheza game tu na siku ukiweka mechi kati ya watoto wa kishua v wa Uswaz nahisi watapigwa bao za kutosha tu na kuibiwa vikorokoro vyao...
Vibweka uzunguni Joto City !!!