1-huna uhakika na kula na una elfu moja pekee ulionayo unaamua kunywa viroba. 2-huna kitanda na unaamua kuoa hayo pia ni maamuzi magumu. 3-huna uwezo wa kumlisha mkeo na unampa ujauzito ni maamuzi magumu. 4-shule haina walimu unampeleka mwanao pia ni maamuzi magumu. 5-daladala imejaa mpaka mlangoni na unaamua kupanda ni maamuzi magumu. 6-unalipwa...
Maamuzi magumu
Maamuzi magumu